JOPO la wataalamu lililoundwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limewasili nchini Sudan kuchunguza madai ya uhalifu wa ...
SERIKALI ya Rwanda imepeleka zaidi ya tani 19 za chakula,vyakula vya watoto, dawa na vifaa vya matibabu kusaidia wananchi wanaoishi Gaza.
MKUU wa Wilaya ya Longido mkoani Arusha, Salumu Kalli amewataka wanamichezo wilayani humo kumuunga mkono Naibu Waziri ...
HAITI : BARAZA la Mpito nchini Haiti limemchagua Alix Didier Fils- Aime kuwa Waziri Mkuu mpya nchini humo. Uamuzi huu umekuja ...
MASHIRIKA ya kutetea haki za binadamu duniani wameliomba shirikisho la FIFA kusitisha kuichagua Saudi Arabia kuandaa Kombe la ...
BURKINA FASO : VIKOSI vya kijeshi nchini Burkina Faso vimeanzisha uchunguzi baada ya vidio zilizosambaa mitandaoni ambazo ...
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Mtwara imefanikiwa kuokoa zaidi ya Sh milioni 31 fedha za viuatilifu katika msimu wa kilimo mwaka 2024/2025. Akizungumza leo mkoani Mtwara, ...
MKUU wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala amewaomba wagombea wote ambao hawajaridhishwa na uteuzi kufuata taratibu ...
KAMATI ya Bunge ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii imepongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga ...
JUMLA Sh milioni 7 zinashindaniwa katika mashindano ya mpira wa miguu ya Mulalila Cup ambayo yanajumisha jumla ya timu 18 ...
JUMLA Sh milioni 7 zinashindaniwa katika mashindano ya mpira wa miguu ya Mulalila Cup ambayo yanajumisha jumla ...